Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 236
Kujuana au kufahamiana??kufahamiana au kujuana vipi unakozumgumzia??watu wengi humu hata kuweka majina yao ya kweli hawataki itakuwa kufahamiana?
Mtazamaji unafikiri sisi watu wa TEKNOHAMA hatuwezi kwenda mbali zaidi ya hii hapa kwa kushiriki shuguli mbalimbali mfano tunajiandaa siku fulani tutaenda shule za msingi kufundisha masuala ya teknohama kidogo , mwezi ujao tunatembelea vyuoni kuonana na wanafunzi na mambo mengine mengi tu kwanini tusiende zaidi ya hapa zaidi ya mazungumzo
Kujuana au kufahamiana??kufahamiana au kujuana vipi unakozumgumzia??watu wengi humu hata kuweka majina yao ya kweli hawataki itakuwa kufahamiana?