Kujumlisha magoli ni ushamba au wanamkoga Magoma?

FADLU DAVIDS 👇

🗣"Naujua ubora wa Aziz Ki, najua pia ubora wa Pacome na wengine Ila nimewazuia, kilichotokea ni wachezaji wangu walikosa umakini kidogo kwenye dakika mbili au moja kabla ya kumalizika kipindi cha kwanza."-

Fadlu Davids

Mr. Reporter
 
Jana nilishuhudia mashabiki wakishangilia timu yao kufungwa goli moja pekee ndani ya dakika 90! Nahisi mtoa mada alikuwa ni mmoja ya wale mashabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…