Kujuwa aliyepata mkopo

Cassava

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
282
Reaction score
36
Wakuu, heshima mbele, nakili kutolewa kamasi na website ya Helsb, Tafadhali menye kujua jinsi ya kuona majina ya waliopata mkopo anifahamishe, mimi nimeshindwa kabisa kuyaona. MSAADA TAFWADHALI, dogo anataka kunitoa ngeu, kila baada ya dakika 10 ananipigia kujuwa kama kapata mkopo.

Manake yeye yuko bush, si unajua tena.
 
Nipm jina lake nikutizamie
 
fungua web ya tcu....kuna sehem imeandikwa VIEW RESULTS,WE click then utafwata maelezo!!!
 
Dogo anaitwa nani ili nicheck jina lake kwani nilidownload kwenye pc
 
ingia humu kwenye jukwaa la elimu tafuta posti ya jamaa anaitwa gkiwango ambayo imeandikwa 'kwa wale ambao bado hajaona majina yao heslb pdf hizi hapa unaweza download uwe na copy yako' ni rahisi tena ya haraka jaribu ivyo
 
HESLB WAMEWEKA UTARATIBU MZURI TU WA KUANGALIA MAJINA. uNATAKIWA UWE NA JINA MOJAWAPAO LA MWANAFUNZI AU INDEX NUMBER BASI UNA SEARCH. JARIBU UONE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…