Kujuzwa, ni kweli kuna dawa ya nguvu za kiume

Wewe hakikisha tumbo lako liko poa tu, lisiwe linaunguluma unguumae,hakikisha ukienda toilet unatoa choo laini,utakua na uwezo wa kulifanya tumbo lako liwe na uwezo Wa ku control orgasm unavyotaka kwani Una uwezo wa kuzihamisha fikra wakat unapotaka kukojoa,huwez kufanya hvo Kama tumbo lako lina gas, linaunguma bila sababu
 
Nguvu za kiume zipo na category nyingi na kila tatizo Lina namna ya solution yake..wewe una tatizo gani?
 
Unatumia Jina gani instagram?
 
Tafuna mbegu za maboga zilizo kaushwa na kukaangwa bila mafuta asubuhi na jioni. Juice ya tende changanya na maziwa fresh pamoja na hubart soda glass 1 asubuhi 1 jioni. Supu ya pweza nk.
 
Scheme ="ipyax, post: 18461731, member: 29698"]Tafuna mbegu za maboga zilizo kaushwa na kukaangwa bila mafuta asubuhi na jioni. Juice ya tende changanya na maziwa fresh pamoja na hubart soda glass 1 asubuhi 1 jioni. Supu ya pweza nk.[/QUOTE]
Acheni uongo.Dah hapa if unaweza kuchanganyikiwa.Nmepata vipimo na nimeshagundua tatizo langu na naendelea na dozi, siku ya Kwanza Jana tu na nipo fit tangia hiyo Jana.Kuanzia Leo ukiwa na tatizo nenda hospital.
 
Ni gharama kubwa vipimo na Dawa ila ni Bora kuliko kuongopewa hapa.Ni hela nyingi nimetumia milioni kasoro
 
Atakayehitaji msaaada wangu, ntamuelekeza hadi docta na hospital.Tusiongopeane tena humu.
 
Atakayehitaji msaaada wangu, ntamuelekeza hadi docta na hospital.Tusiongopeane tena humu.
Dokta aliyekutibu au aliyekupima?
kama una matatizo kama constipation na kuvurugwa kwa tumbo,huli chakula balanced diet, hunywi maji ya kutosha, hufanyi mazoezi lazima utapata huo "ugonjwa" kutokuwa na hamu au nguvu ya kusimamia jimai kiufasaha.
vinginevyo hali ya kiuchumi pia huwa inachangia hilo tatizo.
Jaribu kuwa vizuri kifikra,uchumi na ki mahitaji utalishinda hilo tatizo.
 
Mkuu Mimi nimepimwa na kutibiwaNi gharama ila ni Bora na vipimo vinachukua mda kidogo.Ukitaka ujue tatizo nilikuwa nalonjo pm
 
Ishawahi everhurt, post: 18401272, member: 337075"]Pweza mkavu, chemsha na mizizi ya mti wa mbilimbili,

Kunywa mara mbili kwa siku kwa muda wa siku 10 MFULULIZO.
Ushawahi kutumia[/QUOTE]
Yap nishatumia sasa hivi nina nguvu zaidi ya Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…