Kukaa Kimya ni jibu pia (Haters)

sijakutukana utani tu usimaindi kama nimekukwaza nisamehe mkuu sio serious kama unavyohisi nakuzngua tu mkuu
 
..upo sawa na siku zote ipo hivyo!
 
Ulikuwa vizuri sana,ulibeba heshima...ila umeamua kuvua gamba na kuonyesha uhalisia.Please,stop it my bro,mwanaume kamili sikuzote hawi na misuto au maneno mengi.plz
Nipo hapa JF kuinteract na watu, naheshimu kila mtu.

Kama wewe unanichukulia tofauti, nakupa pole sana.

Kuishi na watu wenye tabia tofauti ni kazi, nimejifunza jana na ninajaribu kwa mara nyengine tena.

Jana kuna watu walinitamkia maneno na kuonyesha wamefurahi mimi kusepa, siwezi kuwajibu watu hao sababu yamimi kurudi humu.

NIHESHIMU NIKUHESHIMU.

PEACE.
 
Wewe jamaa natamani nijue umri wako inaonekana upo kwenye 17 mpaka 21
 
Mkuu nini tena, 🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…