Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Define njunji using three referencesHata ukosefu wa njunji mwilini hupelekea maumivu ya mgongo
Kila nikiangalia movie za Nigeria nikiina Huyu mzee kwenye avatar yako ninamuita BujibujiHata ukosefu wa njunji mwilini hupelekea maumivu ya mgongo
Doh! mkuu POPOMA umeniacha hoi kwelikweli.Kukaa bure bila kutombana ndiyo kunasababisha hayo yote
TUMIA: Tumia juisi ya Tangawizi kwa matatizo sugu ya mgongo, Saga tangawizi, tia ktk maji safi na salama changanya na ukoroge vizuri, Kunywa glasi moja kwa siku kwa muda wa siku 7. AU: tafuna vipande kadhaa vya tangawizi kila asubuhi kabla haujala chochote.Kukaa muda mrefu ukifanya kazi za ofisi bila kuinuka na kunyoosha viungo kwa kutembea na kijinyoosha ni moja ya sababu kubwa ya maumivu sugu ya mgongo hasa kiunoni. Wataalamu wanapendekeza mtu asikae zaidi ya masaa mawili bila kujinyoosha.
Ikiwa una tatizo la mgongo kuuma kwa muda mrefu hasa maeneo ya kiuno unaweza kuweka barafu kiunoni kisha kukanda na maji ya moto, kufanya mazoezi ya viungo, kufanya yoga na kuvuta pumzi kwa nguvu. Kufanya hivyo kunaweza kukusaidia kuondoa maumivu haraka.
View attachment 757771
Chanzo: Tiba Fasta
Du! Hii nyingine hii!Doh! mkuu POPOMA umeniacha hoi kwelikweli.
AiseeKukaa bure bila kutombana ndiyo kunasababisha hayo yote
Mods wameandamana?Kukaa bure bila kutombana ndiyo kunasababisha hayo yote
Anaitwa OusofiaKila nilianza Kia movie za Nigeria niko muonea Huyu mzee kwenye avatar yako ninamuita Bujibuji
Anaitwa Nkem Owoh, Ousofia ni movie aliyochezaAnaitwa Ousofia
thanksAnaitwa Nkem Owoh, Ousofia ni movie aliyocheza
HahahaaaaaaDoh! mkuu POPOMA umeniacha hoi kwelikweli.
Ndio hivyoAisee
Ulitaka wafanye nini??Mods wameandamana?