Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Kukaa muda mrefu ukifanya kazi za ofisi bila kuinuka na kunyoosha viungo kwa kutembea na kijinyoosha ni moja ya sababu kubwa ya maumivu sugu ya mgongo hasa kiunoni. Wataalamu wanapendekeza mtu asikae zaidi ya masaa mawili bila kujinyoosha.
Ikiwa una tatizo la mgongo kuuma kwa muda mrefu hasa maeneo ya kiuno unaweza kuweka barafu kiunoni kisha kukanda na maji ya moto, kufanya mazoezi ya viungo, kufanya yoga na kuvuta pumzi kwa nguvu. Kufanya hivyo kunaweza kukusaidia kuondoa maumivu haraka.
Chanzo: Tiba Fasta