Kukaa ndani siku nzima bila kutoka nje

Bora yako wewe form six leaver. Mie na uhenga wote naweza nisitoke nje kuanzia Jumamosi hadi ntakapoenda kazini Jumatatu. Ntasilikiza nyimbo, ntaangalia movie, ntasoma kidogo, ntalalaaa siku imeisha.

Sio mtu wa kujichanganya sana na watu, hata ikitokea nikatoka, ntaenda maeneo tulivu nikiwa peke yangu.
 

Hakuna kitu Kama hicho Hakuna kipimo cha kuthibitisha kua watu wanaokaa ndani ni Intelligent unakaa ndani unaangalia series zakikolea na single movie za kimarekani useme ni intelligent
 
Hakuna kitu Kama hicho Hakuna kipimo cha kuthibitisha kua watu wanaokaa ndani ni Intelligent unakaa ndani unaangalia series zakikolea na single movie za kimarekani useme ni intelligent
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] punguza povu mkuu ni utani tu
 
Kama mm vile
 
Wapi huko ambako late 20s ndo wanahitimu form 6?

Anyway, anza kuhudhuria vijiwe vya kahawa...huko utapigishwa story tu kwa vyovyote..au jiunge kwaya uwe unaenda mazoezi...
Au nenda Gym..
Mbona options ni nyingi sana
 
mbona ni fresh tu mkuu ,mm mwenyewe huwa nashinda ndani kama sina mishe yeyote,sipende habari za vijiweni au za maskani mm nikitoka zangu kazin ni ndan ,utaniona natoka kwenda kuoga na chooni sisi tusio na self rooms,na mara nyingi nipo safari yani nikirud hom mtu hawez jua ,ukiwa ni mgeni kwangu na tukawa tumepanga nyumba moja utazan unaishi na jini,wageni watakuja kwangu ila mm hunioni hadi nikiwa nawasindikiza [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
ina maana dogo wewe
kucheza mpira hujui, kuendesha baiskeli hujui,huendi kuangalia EPL au UEFA,huna demu?..huna marafiki mtaani hata uliosoma nao shule ya msingi.
 
[emoji23] [emoji23] nimekuuliza kwa kuwa mkuu haupo mwenyewr mwenye hiyo tabia na pia watu wengi wa hivyo huwa very intelligent kwa kuwa hawa afektiwi na mazingira na pia huchelewa sana kula pussy ..........
Uko sahihi kabisa brother.
 
Msongo wa mawazo unakuhusu!
 
Sio lazima kutoka ndani na kutembea ikiwa huna jambo la kulifanya huko nje
Ikiwa tabia njema ndio hiyo uliyofundishwa na wazazi wako ima kusu utani unaotaniwa sio swala la kuzingatia madhari ushatambua kua ni utani tu
 
Faida ni kubwa kuliko madara hivyo ni bora kuindea faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…