Kukaa ndani siku nzima bila kutoka nje

Mie leo yenyewe nimeshinda ndani tuu!! Watoto wakija wananizingua wanaondoka, jana ndiyo niliwatoa out beach wakaogelea na kucheza na mie kupumzisha akili.

Leo sijatoka kabisa nje
 
Unaweza ikawa kweli asee...mtoto wa uncle anapenda kukaa ndani halafu hana demu hata wa kusingiziwa!...ila kuna siku nilisikia ukunga flani wa kimapenzi bafuni wakati anaoga!

Mkuu ndio umenifungua now...kumbe CHAPUTA on fleek!

Binamu yako huyo, nyama ya hamu mpe japo kidogo atoe ukungu!! Punyeto tuu anapiga ukunga, k si atafia hapo?? 🤣🤣🤣
 
mi jambo zuri sana unalo fanya hata siku ukifungwa jela utaenjoy mana ndo mambo yako ayo
 
wewe utakuwa ni mwali mtarajiwa kazana
 
Nakaa ndani sana. Nikitoka nafuata misosi ndani. JF na mziki ndio kampani yangu kubwa. Ila sometimes kuna bore sana
 
Mimi naweza nikakaa ndani hata Siku 3 ruti zangu ni jikoni chumbani sebuleni. Wala siboeki simu iwe Na chaji tu

Enzi za ujana tumekutana tusio na misele 😀😀😀 weekend hutumika vyema haswaaa!! Tulikuwa tunacheza karata wawili tuu mpaka tunasahu kula 😀😀😀😀😀!! Mkiingia ndani Ijumaa mnatoka Jumatatu kwenda kazini!! Nimekupenda bure na umenikumbusha mbali sana
 
Hahahah
 
Unaweza ikawa kweli asee...mtoto wa uncle anapenda kukaa ndani halafu hana demu hata wa kusingiziwa!...ila kuna siku nilisikia ukunga flani wa kimapenzi bafuni wakati anaoga!

Mkuu ndio umenifungua now...kumbe CHAPUTA on fleek!
[emoji23][emoji23]
 
Binamu yako huyo, nyama ya hamu mpe japo kidogo atoe ukungu!! Punyeto tuu anapiga ukunga, k si atafia hapo?? 🤣🤣🤣
Hiki ulichokiandika hapa umekifikiria kwa kina au umejiropokea tu??? After all nilikuquote wewe au shoboo?...halafu eti una familia!.....wee utakuwa umezoea kulala na dada zako, unahisi kila mtu anafanya hivo! M.av.i. i yako
 
Pendelea kutembea wakati wa jioni au kwenda sehemu za beach au ufukweni mwa ziwa kupunga upepo au mtaani kwenu hakuna vijiwe vya kahawa au bodaboda kwenda kupiga story?
Si ndo hapo, hakuna sehemu inaleta refreshment kama beach....mleta Uzi anakosa vingi
 
Hiki ulichokiandika hapa umekifikiria kwa kina au umejiropokea tu??? After all nilikuquote wewe au shoboo?...halafu eti una familia!.....wee utakuwa umezoea kulala na dada zako, unahisi kila mtu anafanya hivo! M.av.i. i yako

Naona umekwazika kweli kweli, Poleee!! Haikuwa intention yangu kumkwaza mtu hapa!! Nimeitumia hiyo sentence kiutani as inavyotumika kiutani siku zote katika maisha yetu thus why mwishoni nikaweka imoji za kucheka nikimaanisha siko serious na nililoongea just utani siku zipite!!

But kwa kuwa umekwazika naomba nikuombe samahani!! Samahani sana na naufuta usemi wangu kwako, niwie radhi tafadhali!!
 
Jaribu kutafuta marafiki mtaani,toka ukae hata na watu wa vijiweni upige nao story itakusaidia,ukiwa mtoto ni vizuri ila kwa umri huo ni vizuri ukaanza mazoezi ya kujichanganya na watu maana siku moja utaondoka hapo nyumbani na kuishi peke yako unafikiri maish yatakuwaje..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…