Mungu aepushie mbali!!!!Akikua huyooo! Muamishe mapema kabla hajafikish umri wa miaka miwili.. Mana kam hutafany hvy inasemekana na ni true kuwa watoto katik umri huo huwa wachunguzi sana.
Na akijua hvyo anaenda kupratice kwa watoto wenzake..
msimtishe bana,katoto ka 1yr hamna kitu,ukiona kanaanza kusimama hapo shtuka.
msimtishe bana,katoto ka 1yr hamna kitu,ukiona kanaanza kusimama hapo shtuka.
Picha zote zinahifadhiwa in the subconscious na zinajenga personality yake.Akili ya mtoto inaanza kufanya kazi mara anapozaliwa. Inakuwa na uwezo wa kuweka kumbukumbu tangu wakati huo. We endelea tu, anawachora huyo
Ni kama mie
Ni kama mie
Mkuu kama wewe ni kizazi cha chachacha na raba mtoni katika umri huu uwezi kukumbuka uliyoyafanya wakati una miaka 3,lakini katika kizazi hiki cha Supra na pinki colour ogopa sana kiongozi lolote laweza tokea,imagine kitoto kina just 5yrs lakini kinajua kila kitu we unadhani kimeanza jifunza wakati kina umri gani?Wangapi kati yenu wanakumbuka waliyokuwa wakiyafanya wakati wana umri wa mwaka 1-3?????
Mi nakumbuka kuna wakati nilikuwa nalia halafu naambiwa Simba huyoWangapi kati yenu wanakumbuka waliyokuwa wakiyafanya wakati wana umri wa mwaka 1-3?????
Mi nakumbuka kuna wakati nilikuwa nalia halafu naambiwa Simba huyo
halafu mtu anakuwa amejificha nyuma yangu ananguruma mmhuuuuuum
nilikuwa naogopa kwelikweli.
Pia nakumbuka sana nilivyokuwa nabebwa kwenda bustanini n.k kuna mengi
tu nayakumbuka siwezi kusimulia yote, hayo ya chumbani nakumbuka nilikuwa
nalala na yaya wangu ambaye usiku alikuwa anagongewa dirisha na huyo mtu
ambaye simkumbuki. Akishaingia nilikuwa napewa BAZOKA au kitu kingine......
sikumbuki vizuri baada ya hapo maana kumbukumbu zimepotea.