Kukaa uchi mbele ya mtoto!!

hana shida huyo endelezeni libeneke
 
maadili ni muhimu sio lazima usubiri dalili za ufahamu maana unatofautiana kati ya mtoto huyu na mwingine
 
vingi sana, nikianza kuvitaja sitovimaliza.
Ok, lakini nilitaka hata ungenitajia viwili vitatu tuu ili vinisaidie ku-Cement ushauri ninaopata kutoka kwa wadau
 
Mi babaake huwa anakataza mtoto anibusu au mi kumbusu anadai namfundisha mtoto tabia mbaya ana miaka 2 sasa
 
....Akishaingia nilikuwa napewa BAZOKA au kitu kingine......
sikumbuki vizuri baada ya hapo maana kumbukumbu zimepotea.[/QUOTE]


hiyo unayodhani ulikuwa unapewa bazoka au "kitu kingine..." basi ujue hapo ulikuwa unapewa ya wa kubwa unyonye ili usinzie kisha wao waendelee na shughuli iliyomleta huyo mgeni.....!!!
 
angalia usijeshangaa mtoto akisema mbele za watu "jana nilimuona baba kamlalia mama ALAFU ANA KAMA KIGONGO"
  • tafuta chumba kwaajili ya mtoto
  • jitahidi kabla ya kufanya mambo yenu awe amelala KUMBUKA watoto ni wajanja sana usidharau uwezo wake wa kuona, kumbukumbu na kuelewa.
 
Sio vizuri, ni bora kufanya akiwa amelala! Huwez jua hayo anayoyaona yanamuathiri vipi!
 
Mimi ningesema kuanzia miaka 2+ hivi. Mimi binafsi sipendi kukaa uchi mbele ya mtu yoyote bila sababu ya msingi. So hata kama inanilazimu kubadili nguo mbele ya mtoto nitajifunga taulo au kanga ya mama yake lakini sio kukaa uchi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…