Mimi nimewaza hio levo siti na wazo lako la fimbomkuu si nimeambiwa kuna 'levo siti' lol..sipati picha ndani ya daladala kila mtu ana fimbo hhahahahahahaha
sawa mkuu, ila sioni umuhimu wa serikali kutumua fedha kuwanunulia raia fimbo. I mean kwa haya mazingira ya kitanzania kama lengo la kujikinga litasaidiwa sana na hizo fimbo, basi kuna miti mingi tu huko mitaani ambapo raia wanaweza kata vijiti vyenye urefu wa mikono yao, na hizo fedha za kununulia fimbo zikapata matumizi mengine muhimu zaidi.
Kwangu mimi naona fimbo haina umuhimu sawa na sanitizer au mask ( barakoa) hivyo hakuna umuhimu wa kupoteza fedha kununua vijiti ambavyo kwa mazingira yetu ukitembea barabarani tu unakutana navyo.Mkuu kwanini serikali inanunua sanitizers kwenye mizunguko pamoja na maji,je watu hawana hela ya kununua vitu hivyo??..kumpiga kampeni ya social distancing bila kuwapa fimbo watu,kampeni yako itabaki maneno tuu..labda useme serikali iinde huko mitaani ambapo miti inapatikana,halafu one metre ni sawa na urefu wa mikono au ulikua unamaanisha nini?
Kwangu mimi naona fimbo haina umuhimu sawa na sanitizer au mask ( barakoa) hivyo hakuna umuhimu wa kupoteza fedha kununua vijiti ambavyo kwa mazingira yetu ukitembea barabarani tu unakutana navyo.
China walijenga hospitali ndani ya wiki, sisi itachukua miaka kujenga moja 😂 labda kama kujenga unamaanisha tutumie tents ⛺ hiyo si mbaya kwa kua ni temporary, ila ventilators hakuna, ventilators inasaidia kuondoa maji yanayokwama kwenye mapafu, watu ambao corona imewazidia kinachowaua ni maji kujaa kwenye mapafu wanashindwa kupumua, bila ventilators ni kama tunawaweka hospital bure tu, Tanzania majii tu ni shida, yaani kwa lugha nyingine we are fucked, hili likipita tujiandae sana kwa litakalofuata.
Hapa naona tufate ya Tibaijuka, tupambane kwa njia zote za wataalamu yakitushinda tujaribu na tiba asilia, na huko likishindikana basi tusubiri tu herd immunity wengi waugue wajenge kinga ya mwili alafu hawawezi ugua tena, tatizo option ya mwisho itaondoka na wazee wetu wengi sana na watu wenye kinga ndogo ya mwili. Hili lisingekua tatizo kubwa kama watanzania wangefanya social distancing na kuvaa mask hata za kitenge tu kila moja inasaidia sana, sema maskini anayeingiza 1,000 kwa siku huwezi mwambia hili swala hata habari kua kuna corona utakuta 80% ya watanzania hawajui hadi sa hivi
Tatizo lipo kwenye kugombania, ilà level seats imefanikiwa 100%. Na kuna routes watu wanaweka foleni na distance ya kutosha tu.Mm nmewaza hio levo siti na wazo lako la fimbo
Japo hata hio levositi wanagombania
Itakumbukwa kuwa Serikali,kabla hata gonjwa hili halijaingia Africa ilishasema (kupitia Waziri mwenye dhamana ya afya za watanzania) kwenye vyombo mbalimbali vya habari,kwamba imejiandaa na kujizatiti kukabiliana na gonjwa hili kikamilifu.hello JF,
Baada ya hili balaa….kuna umuhimu wa serikali kuwa na record za watu wake..ni procedure itakayo kuwa kubwa and costly lakini worth it....
Cha kumshauri Ummy Mwalimu, ni kutopanic hili ni jambo la dunia....
Second kupitia records walizo nazo, wa identify sehemu zenye maambukizi zaidi na zile hela zilizotolewa juzi na Rais Magufuli ziende kujenga hospitali in these high priority areas....
Third Mkuu Ummy ungeweka mfuko/ fund/hotline watu wachangie..utahitaji funds kukabiliana na hili dubwana.....
Lengo la kuanzisha mada hii ni kuanzisha kampeni ya KIFIMBO CHEZA,LOL,
Serikali kama inaweza inunue FIMBO kwa kila mtanzania [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Yes! kila mtu awe na stick yenye mita moja,..kelele zipigwe watu wakienda huko kwenye mashughuli ya kila siku wakae mbali na wengine…kwa umbali wa fimbo( one metre)
Asiyekua na stick akamatwe!
Yes social distancing ni only reliable method inayoonyesha matokeo postive huko dunia ya kwanza...lockdown inazingua..na sidhani kama tutaiweza…
So,na sisi tuikazanie hii distancing...well with modification...yetu ni lazima..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibuni kwa mawazo...