Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Kukata miti ni uharibifu wa mazingira na ni kosa.sawa mkuu, ila sioni umuhimu wa serikali kutumua fedha kuwanunulia raia fimbo. I mean kwa haya mazingira ya kitanzania kama lengo la kujikinga litasaidiwa sana na hizo fimbo, basi kuna miti mingi tu huko mitaani ambapo raia wanaweza kata vijiti vyenye urefu wa mikono yao, na hizo fedha za kununulia fimbo zikapata matumizi mengine muhimu zaidi.
Dr. Tupe mfano mmoja tu wa nchi iliyofanikiwa kuondoa Corona kwa matumizi ya njia unayopendekeza ikiwa na maana kwamba matumizi ya fimbo.Social distancing ni sawa na sanitizer mkuu,the only reliable intervention ambayo inaonyesha positive results..pitia huko mtandaoni utaona social distancing,mimi nimeona serikali yetu inaweza hii kitu sio gharama sana, halafu hizo fimbo ni one metre sijui kama vinafanana na mkono,sio vijiti unavyokutana navyo barabarani
Umesahau hapa kinachozungumziwa ni fimbo...sasa kama wewe unakata mti mzima ii upate fimbo utakua na matatizo.Kukata miti ni uharibifu wa mazingira na ni kosa.
Dr. Tupe mfano mmoja tu wa nchi iliyofanikiwa kuondoa Corona kwa matumizi ya njia unayopendekeza ikiwa na maana kwamba matumizi ya fimbo.
Wengi wamekata miti kwa ajiri ya fito.Umesahau hapa kinachozungumziwa ni fimbo...sasa kama wewe unakata mti mzima ii upate fimbo utakua na matatizo.
Kina nani hao embu wataje??Wengi wamekata miti kwa ajiri ya fito.