1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,561
- 3,328
Ertugrul Bey Heshima ako ๐Nimeipenda hii
Asante sana mkuu,tupo pamoja,hii thread umeitendea haki,comments zako zote nimezielewa,ndio maana nikaona hapana nisipite kimya kimya bila kuweka mhuri hapaErtugrul Bey Heshima ako ๐
Kwahiyo unaamini Mimi na wewe tunaweza kuwa suluhisho la upweke wa Kila mmoja?Karibu PM rafiki, tuwe na kampani pamoja tuondokane na huu upwekeโฆ
Nashukuru sana mkuu ๐ Heshima ni kusikilizana na kujifunza kutoka kwa mitazamo tofauti. Muhuri wako nimeupokea, tupo pamoja sana mkuu ๐คAsante sana mkuu,tupo pamoja,hii thread umeitendea haki,comments zako zote nimezielewa,ndio maana nikaona hapana nisipite kimya kimya bila kuweka mhuri hapa
Nina matumaini hayoโฆ huenda wazo hili likafanya kaziKwahiyo unaamini Mimi na wewe tunaweza kuwa suluhisho la upweke wa Kila mmoja?