Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Serikali ilijenga nyumba Chanika halafu zikawa hazinunuliwi. Magufuli akaenda Chanika,akasema tutapunguza bei ya hizi nyumba ili watu wamudu kuzinunua.
Jennister Mhagama ndiye alikuwa waziri mhusika wakati ule.
Tatizo ,wanasema,kwa nini nyumba zile zilikuwa hazinunuliwi ni kwamba watu walipokuwa wanaenda kuzinunua walikuwa wanaulizwa wamezipata wapo hela zao.
Katika economics,ninavyosikia,haileti tofauti yoyote: hakuna sababu ya kuwawinda majambazi wa madawa ya kulevya.
Ukiwa na narco- economy au ukiwa na respectable economy,end result itakuwa ile ile. All roads lead to Rome.
Lakini kama perception ya watu itakuwa kwamba wewe umeshiba hela ulizopewa na wajomba zako na hutaki wengine wapate riziki,basi,nothing good can come of it.
Jela za plea bargaing ziliishia mifukoni mwa watu. Hazikwenda Hazina. Hela zilikuwa zinatafutwa,nyingine zilikuwa zimepelekwa China,zimepelekwa na watu ambao nadhani afya yetu yetu itadhurika tukiwataja.