Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Ujinga ni kujifanya unajificha halafu unazima simu na kuwasha au kutupa Line ya simu na kununua mpya afu kuendelea kutumia simu Ile Ile.
Tupa simu tupa line uone kama utadakwa kirahisi. Ingekuwa mm ningekuwa Mogadishu muda huu
Awe na hizo hela sasa........majanga hutokea ukiwa pyeee hata kumi huna utaishia kwa mvanga Tanga ulime vibarua miaka 10.....
 
Tuhitimishe hapa kwa kusema tu kuwa hali ngumu ya kiuchumi ndiyo imemfanya kato akamatwe,maana inafika kipindi lazima uwapigie simu rafiki zako wa karibu wakubust kiuchumi.
Yani huyu ilibidi aende vijijin huko mikoa ya mbali akawe kibarua tu wa mashambani.
 
PT hawa hawa walioshindwa kuwakamata washambuliaji wa Lissu?
Hawa hawa ninaowajua mimi?
Intel mbovu za PT, Tiss, na Jw mpaka majasus ya Rwanda yanaingia nchini yanateka na kuondoka na watu 5 wa familia moja?
Matukio yote hayo PT wanayajua na wanashirikishwa.Believe me Tiss na PT walijua mpango wa Pk na una baraka zao.Nchi hii Haina Intel mbovu kama watu wanavyolopokwa humu mitandaoni.
 
Mtafute mtu wa Telecom atakupa darasa
 
Simple tricks from my own knowledge


Ckuzote cmu huonyesha mahali ulipo, especially tz you can escape easily mtego wa kukamatwa na PT/ TISS

First switch VPN
You can buy new phone
Or
Change cmu card while your phone on vpn through WiFi
Then communicate through internet call (chat & call through telegram )

Pesa zote ziamishie binance uwe na crypto currency tuu USDT , huduma zote lipa kwa mfumo huo

Usijarbu ku withdrawal pesa bank au kwa agent kwakutumia details zako
 
Hii Tanzania kubwa sana kujificha kwa mhalifu wa aina yoyote hata Osama Bin Laden angekuja kujificha huku hata Obama na Marekani yake wasingejua alipo pengine angekuwa hai mpaka leo.

Principle ya kwanza na muhimu ya kujificha uwe na pesa za kutosha trust hakuna tiss wala mtu yoyote atakayekupata.
 
Duh! Unaishi dunia ipi mkuu!!!
Simu ukiwa nayo,chukulia kama umeazima tu. Kuinunua haimaanishi kwamba wewe ni mmiliki. Wala. Wapo wengi tu wakiamua wanadukua.
Hata ndogo,kikubwa kama inatumika,wanajua iko wapi. Ni sawa na mlinzi amlike tochi akiwa lindo,af ajidae kwamba wezi hawatajua alipo.
Kumbe mjanja ehhh
 
Sasa hapo,dereva wa bajaji alikuwa na pesa gani ya kutosha? Ambayo ni Sh ngapi?
 
Hahahahaha!!!
Sasa yeye Kato rasta km alishafanikisha kuingia Songea, si angechapa laba msumbiji kupitia njia ya mbinga had mitomonii.

Maana kupitia njia ya muhukuru angepata shida pale Mkenda.
Nweiii Afande Muna harudi tena Duniani, ndo ishatokaa hiyooo.
Hivi mkuu, labda jambazi. Uue kwa bahati mbaya af ukae utulie! Af tena, umeua mwanajeshi? Dah! Sidhani. Huenda aliendelea na kazi yake,akasahau kuwa na picha yake inatembea,au alipiga simu kuaga kuwa anaingia huko ndo akadakwa.
Ukiyakanyaga tu,lazima nafsi ikose muelekeo
 
vipi nikivunja lines zangu halafu sim nikatupa ikaokotwa na mwingine. Hapo nakuwa nimeuza msala?
Haisaidii. Kikubwa itajulikana hiyo laini imetumika kwenye simu gani,namba imewasiliana na kina nani,wameongea nini.
Kuepusha shali, ni kosa kuokota laini na kuanza kuitumia,ikitokea mwenyewe ni wa hivyo,hata wewe utashikiliwa kwa mda kwa mahojiano zaidi.
 
Kuna kuishiwa pesa unapiga simu nyumbani usaidiwe nauli.....hela kula ...unaweza kujikuta uko mganga miezi 6 umeishiwa oohhh
Wee km aliingia songea, si angejichanganya kwa watu huko kijijini na kujifanya kibarua wa kulima msimu huu wake kabisa, angedakwa wapii?

Yeye ameshindwa kujiongezaaa. Poleee yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…