Kukamatwa kwa Maduro ni mchongo uliotengenezwa!! Mchongo mzima ni huu hapa!

Elimu ya madrasat imekuathiri!
Akili huna!
 
Namaanisha wale Delta Force waliomkamata Maduro, wanaweza kuja kumkamata Samia bila mchongo halafu wakafanikiwa????????????????????

​

Nb:Ni mtazamo tu!​

Nani....samia?

Unamaanisha samia huyu huyu wa kupachikwa madarakani na wanajeshi wake hao wanaoua raia wasio hata na viwembe mkononi ndiyo waipe Delta Force kazi ya kumbeba msobe msobe?
 
Wachambuzi wa siasa mlioko Namtumbo mmeanza Sasa kupiga ramli chonganishi..


Wenzenu wamepiga tukio la dakika 120 la kufa na kupona nyie mnakuja kuleta kuunga link.

Kweli akili ya muafrica ni ya kuvukia Barabara
 
Wewe unaona bila mchongo ni rahisi kufanikiwa??? Unatumia akili yako vizuri??
Kipimo cha jeshi imara lenye nguvu ni kujitambua kulingana na mazingira waliyopo.

Hao wanajeshi wako kama waliweza kuuwa watu 10K+ bila kujiuliza watu hawa tunawauwa kwa sababu wametufanya nini wewe unaamini wana idea wapambane vipi watakapovamiwa na jeshi smart linalojua linachofanya?

Unaandika ndoto ambazo hata ulale wiki hauwezi kuziota kaa kimya.
 
W
Huna hoja coz unaendeshwa na hisia,papara,hasira,ushamba,ulimbukeni,jazba n.k
Mimi na wewe nani mshamba huna Intel yeyote lakin unaropoka tu na ujuaji mwingi huu si ujinga na uzwazwa na uccm ulioendelea
 
unaropoka tu
Hawa nao wanaropoka??? Halafu nimetumia vyanzo vya kimataifa wewe je??

Sources inside the opposition told Sky News they believe Maduro's capture was a "negotiated exit".

 
Khaaaa hadithi hadithi ! hadithi njooo mwehhhh!
 
Mwexetu IPO idhaa gani Huko ulaya , sikuhizi Hadi wendawazimu ni wachambuzi
 
Makamu wake anakula vodka Russia... Mchongo ukubali kukamatwa? Angekimbia kma Asad Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…