Kukamatwa kwa Maduro ni mchongo uliotengenezwa!! Mchongo mzima ni huu hapa!

Huu mtazamo ungebaki nao huko vijiwe vya kahawa

Kubalini TU mwamerika ndo kiranja wa zamu tulieni
 
Wamarekani ni wacheza movie mkuu, wachache tunawajua. Hizi ndio movie wanazochezaga
 
niliwahi kusema kuna makubaliano ya Trump na Putin (you take this venu oil & I take this donbas)
 
Amka wewe usingizini utajikojolea, Maduro kakamatwa kwa oparesheni ya kijeshi. Na hii ni ujumbe kwa madikteta wote popote duniani kuwa siku file lake likiamriwa oval office akamatwe atanyakuliwa popote alipo bila kujali umezungukwa na jeshi lako ama vikosi vyako vya usalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…