Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Gaidi Mbowe ametulizwa huko, nchi nzima imetulia, na viongozi wa serikali watapungua kufariki sasa kama Uamsho walivyo tulizwa na Zanzibar ikatulia.
Na tozo kama kawaida sasa ...Mwigulu atapata usingiziGaidi Mbowe ametulizwa huko, nchi nzima imetulia, na viongozi wa serikali watapungua kufariki sasa kama Uamsho walivyo tulizwa na Zanzibar ikatulia.
Tunampelekea uji saa ngapi Gaidi Mbowe, Tanzania itatulia sasa kama Zanzibar ilivyotulia baada ya magaidi wa uamsho kuwekwa sehemu salama.Mwanzoni nilikuwa nakereka kweli nikisikia wazungu wanatuita manyani, ila kwa huu upuuzi unaofanywa na vyombo vya dola naona wako sahihi mno.
Kabisa, yaani CCM na serikali yake haijagundua kuwa wanathibitisha kuwa wao ni manyani mbele ya use wa dunia?Mwanzoni nilikuwa nakereka kweli nikisikia wazungu wanatuita manyani, ila kwa huu upuuzi unaofanywa na vyombo vya dola naona wako sahihi mno.
Yaani kwa utoto mnaofanya vyombo vya dola vinajidhalilisha ile mbaya. Hivyo vyombo vimeshindwa kumkamata aliyejiunganishia bomba la mafuta, wako busy kufanya maigizo ya kitoto kuhusu Mbowe. Kwa mbahati mbaya wananchi wako digital, vyombo vya dola na serikali vimebaki analogia, ndio maana unafanyika utoto hadi wanafunzi wanashangaa. Acheni utoto maana katiba mpya ni lazima ipatikane.
Kwani aliyefungua kesi ni mbowe au unajisahaulisha kuwa Sabaya alienda kwa wilaya na mkoa ambao si wake kufanya kazi ya TRA na polisi?
Kamanda jenga hoja
Hivi wewe wakudadavua mbona una akili za kijinga hivi?
Sasa ndiyo umeandika nini hapa? Yaani Mbowe Mbowe tuNdugu zangu,
Aliyekuwa DC wa Hai Ndg. Sabaya alifanikiwa mara kadhaa kudhibiti uhalifu na wahalifu wa Wilaya ya Hai waliotumia mgongo wa siasa.
Hata Mbowe mara kadhaa alidhibitiwa na wengi walisema mengi lakini kwa sasa ni dhahiri utagundua Mbowe alidekezwa na Sabaya, alidhibitiwa kwa heshima japo aliendelea kufadhili vijana kutengeneza maigizo.
Inasadikika mashahidi wengi kwenye kesi dhidi ya Sabaya ni wafuasi wa Chadema.
Kwa haya yanayoendelea sasa hivi dhidi ya Mbowe huenda yakabadili uelekeo dhidi ya kesi ya Sabaya. Huenda mashahidi wengi wakajiengua kwani muwezeshaji hayupo.