inasikitisha sana kwa binti yule kutokea yaliyomtokkea na inasikitisha zaidi kwamba alikuwa anajua nini anachokifanya ...,labda niwaeleze kwa masikitiko yaliyotokea:huyu dada alishushwa na landcruiser dreva akiwa mchina na mswahili ndani;kijana wa kiume....,baada ya dk kumi ikaja gari nyingine ambayo ilikuja nahiyo mizigo..yule dada masikini akkapewa maelekezo akaingia ndani....alipoingia ndani simu ndio iliomtokea puani...,alipoingia ndani maelekezo ilikuwa akifika ndani ampigie simu mtu aliekuwa asafiri na emirates na hiyo mizigo....,hamjui kwa sura hilio ndilo tatizo lilipoanza alipofika ndani pale getini kwenye machine akapita kama kawaida ....as long Wafanyakazi wa TAA walishakatiwa chao...alipochukua simu apige charge ikawa imeisha.....mwanamke akabaki amechanganyikiwa katikati ...akafanya kosa arudi tena nje na ile mizigo kama ilivyo hapo ndipo kasheshe ilipoanza poliisi na njaa zao wakaanza kumzonga wakamlazimisha apitishe Kwenye machine zilipopita wakakaaaaitana chemba baada ya kukubaliaana kutokukubaliana....hapo ndipo ikasanuliwa uwanja mzima...likaja nissan akachukuliwa akapelekwa sehemu husika.....,
hilo ni baadhi tu ya matukio machfu yanayofanywa na wafanyakazi wa TAA..wamekuwa na njaa ya kutisha hata kuanza kusachi watu wanaotoka ndani ya uwanja wakikukuta na juice,soda ati lazima tugawane....,