Kukandwa kwa maksi chache writen utumishi inakera kwa kweli. Wangekuwa wanaangalia na ukubwa wa maksi

Mejasoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
298
Reaction score
600
Wakuu Leo nimefanya paper ya written utumishi, na matokeo wametoa Leo Leo, si mchezo yaani mstari wa not selected

Umeanzia kwangu na ukizingatia nimepata 75% yaani inauma mno asali inanipiga chenga, hivi hivi😭
Mungu unikumbuke kwa kweli
 
Pole sana,najua ni jinsi gani imekuuma,bado nafasi ipo.pambana ukimuomba Mungu
 
Wakuu Leo nimefanya paper ya written utumishi, na matokeo wametoa Leo Leo, si mchezo yaani mstari wa not selected

Umeanzia kwangu na ukizingatia nimepata 75% yaani inauma mno asali inanipiga chenga, hivi hivi😭
Mungu unikumbuke kwa kweli
Kajipange ww umepata 75 wakati wenzako wengi wamepata above
 
Back
Top Bottom