Kama Mungu yupo upande wako utafanikiwaDaa noma sana yaani mpaka kutoboa utumishi Kuna Siri kubwa
Kajipange ww umepata 75 wakati wenzako wengi wamepata aboveWakuu Leo nimefanya paper ya written utumishi, na matokeo wametoa Leo Leo, si mchezo yaani mstari wa not selected
Umeanzia kwangu na ukizingatia nimepata 75% yaani inauma mno asali inanipiga chenga, hivi hivi😭
Mungu unikumbuke kwa kweli