Kukaribishwa JF

Kukaribishwa JF

shunayla

Member
Joined
Apr 24, 2018
Posts
80
Reaction score
49
Mgen humu jmn naomba mnipokeee mnionyshe mazingira yahumu ndani
 
Karibu, pata kupitia sheria za JF.
 
Karibu sana kuna jukwaa kule chini kabisa linaitwa jukwaa la utamu kiingilio 50K. Jipige pige ukiwa nazo nione ile ulipie nikupe na risiti yako. Yours truly ndiyo bwana fedha wa jukwaa lile.

Mgen humu jmn naomba mnipokeee mnionyshe mazingira yahumu ndani
 
Karibu ndugu.. Unaishi mkabala na nchi gani?..
Uhamiaji umepita?!..
 
Back
Top Bottom