Nenda kwa ajent wa bimaNahitaji kukata bima kubwa [comprehensive] ya gari ya muda mfupi. Muda huo ni miezi mitatu au sita. Inapatikanaje/nafanyaje?
Nashukuru sana.Bima ya miez mitatu ipo ila kurenew inatakiwa iwe imediately unapoisha mwezi wa tatu bila kuchelwa hata siku moja thrwise utaanza kulipa upya
Wasiliana na mtu wa Bima akukatie ukishindwa ntakupa mawasiliano ya mmoja nnaemfahamu.
Siku hizi hakuna bima nusu. Kuna kiongozi mpya hiyo mamlaka ya bima ,kazuia bima nusuNahitaji kukata bima kubwa [comprehensive] ya gari ya muda mfupi. Muda huo ni miezi mitatu au sita. Inapatikanaje/nafanyaje?
Asante.Siku hizi hakuna bima nusu. Kuna kiongozi mpya hiyo mamlaka ya bima ,kazuia bima nusu