Autoerotic Asphyxiation au Choking game
Kumekuwa na mchezo wa kuongeza ukubwa wa kilele cha mapenzi ambao ni hatari sana kwa maisha. Inasemekana mchezo huu huenda ni matokeo ya wanaume kunyongwa kwa kamba ambapo observers wanasema wengi wao manhoods zao husimama na wakati mwingine hata kutoa mbegu kabla ya kifo kuwapata.
Hali hii inasemekana inasababishwa na kuzuiwa kwa hewa ya Oxygen kufikia ubongo. mchezo huu umechukuliwa kama njia mbadala na baadhi ya watu ya kuongeza "high" during orgasm. Madhara yake makubwa ni kuwa mara nyingi husababisha vifo kwa watumiaji. Swali langu ni je kuna uhusiano gani kati ka kufanya ubongo ukose oxygen na kuongeza mshindo wa ngono?
Soma zaidi hapa http://abcnews.go.com/Health/MindMoodNews/autoerotic-asphyxiation-threaten-kids-thought/story?id=8803050