Kukata rufaa Bodi ya mikopo

Kukata rufaa Bodi ya mikopo

SAFAM classic

Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
10
Reaction score
2
Wapwa naombeni msaada. . Dirisha la kukata rufaa limefunguliwa RASMI HELSB tar 13/11/2022 .Nimepata mkopo ila sijaridhishwa na kiasi cha mkopo nilipata . Je naweza kukata rufaa?
 
Yeees unaweza kukata rufaa ila jipange uwe na sifa kwelikweli ,Maana Bodi wewe ukimwaga mboga wao wanamwaga ugali
 
Andaa documents zako vizuri
Tasaf
Barua za udhamini wa masomo
Vyeti/cheti Cha kifo au vifo
Disability kutoka kwa DMO au RMO
Tofauti na hapo sijui
 
Jaman samahan pia...unaomba niulize iv ukicancell mkopo af ukaomba tena mwakan ni huwez kupata?? Maan me nimepata mkopo lakin course niliyochaguliwa cjapenda na dirisha la transfer limefungwa ...ndo nauliza kama nitacancell mkopo af niapply mwakan ni probability ya kupata ipo au hamna kabsa?
 
Jiandae kwa lolote
 
Postpone chuo mwakani uwahi kubadili course na uwasiliane na loan officer mkopo wako wai pause ,kama iyo course ipo kwenye icho chuo lakini
 
Jaman samahan pia...unaomba niulize iv ukicancell mkopo af ukaomba tena mwakan ni huwez kupata?? Maan me nimepata mkopo lakin course niliyochaguliwa cjapenda na dirisha la transfer limefungwa ...ndo nauliza kama nitacancell mkopo af niapply mwakan ni probability ya kupata ipo au hamna kabsa?
Mi nimefanya hiyoo kitu mwaka jana na mwaka huu nimepata tena, ila syo uhakika kupata tena, sabab watu wengi walinambia sitapata tena, mpk kupata awamu hii nimepambana sana na stress km hauna ishu ya kufanya kwa muda huo utakao kaa mtaani ni heri ukasome kingine angalia uwezo wa familia yako mwakani itaweza kukusomesha ukikosa mkopo. Ni maamuzi magumu yanayofanywa na watu wagumu km syo mgumu usijaribu. "Weka mbali na watoto"
 
Nadhani kakuelewa
 
Jaman samahan pia...unaomba niulize iv ukicancell mkopo af ukaomba tena mwakan ni huwez kupata?? Maan me nimepata mkopo lakin course niliyochaguliwa cjapenda na dirisha la transfer limefungwa ...ndo nauliza kama nitacancell mkopo af niapply mwakan ni probability ya kupata ipo au hamna kabsa?
Kama hsujasajiliwa chuo na kusaini mkopo mwakani panapo majaaliwa utapata vizuri tu .Mimi ninao mfano hapa nyumbani kuna ndugu yangu alichaguliwa UDoM mwaka jana na mkopo alipata sasa yeye kutokana na matatizo hakuripoti wala kujisajili mwaka huu kaomba na kapata yuko chuo.
 
Na anasoma Udom chuo cha KATA😅
 
Back
Top Bottom