adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Nov 18, 2022 #21 Mr Pixel3a said: Na anasoma Udom chuo cha KATA😅 Click to expand... Acha dharau mkuu ,sababu zinazopelekea kusema UDom ni chuo cha kata ? At least Muhas vyuo vya Tanzania na elimu yake kwa ujumla bado sana.
Mr Pixel3a said: Na anasoma Udom chuo cha KATA😅 Click to expand... Acha dharau mkuu ,sababu zinazopelekea kusema UDom ni chuo cha kata ? At least Muhas vyuo vya Tanzania na elimu yake kwa ujumla bado sana.
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 5,710 Reaction score 8,579 Nov 18, 2022 #22 adriz said: Acha dharau mkuu ,sababu zinazopelekea kusema UDom ni chuo cha kata ? At least Muhas vyuo vya Tanzania na elimu yake kwa ujumla bado sana. Click to expand... Kwan ukikubali kua Udom cha kata Kuna tatzo?
adriz said: Acha dharau mkuu ,sababu zinazopelekea kusema UDom ni chuo cha kata ? At least Muhas vyuo vya Tanzania na elimu yake kwa ujumla bado sana. Click to expand... Kwan ukikubali kua Udom cha kata Kuna tatzo?
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Nov 18, 2022 #23 Mr Pixel3a said: Kwan ukikubali kua Udom cha kata Kuna tatzo? Click to expand... Bila sababu yeyote ? lazima ziwekwe sababu kisha tuangalie uhalisia hapo kukubali ndipo kunakuja kama maelezo yakiendana na uhalisia pamoja na kulinganisha na kwengine.
Mr Pixel3a said: Kwan ukikubali kua Udom cha kata Kuna tatzo? Click to expand... Bila sababu yeyote ? lazima ziwekwe sababu kisha tuangalie uhalisia hapo kukubali ndipo kunakuja kama maelezo yakiendana na uhalisia pamoja na kulinganisha na kwengine.