mukama talemwa
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 160
- 29
Rufaa siyo rufaa mpaka iwe imekidhi masharti na vigezo ,muda ukiwa ni mojawapo hivyo hiyo rufaa ni null and void.Jamaa yangu ameshinda kesi CMA baada ya mwezi mmoja kupita bila mwajiri kusema lolote akaamua kukazia hukumu ambapo Mahakama kuu ikatoa order kwa mwajiri ikimtaka kutekeleza maamuzi ya CMA jamaa yangu alipopeleka order ndani ya week moja mwajiri akampatia copy ya appeal ya High Cort ambayo inaonyesha kuwa ameikata baada ya order ya Mahakama, na siku zilikiwa zimefika 54 tangia mwajiri amepata nakala yake ya hukumu.Waungwana sheria inasemaje kuhusiana na hali kma hiyo.
Nadhani mahakama inaweza kuruhusu kama mwombaji anaweza kueleza to the satisfaction of the court ni kwa nini alichelewa kuomba. Au hakuna mazingira yanayoweza kumzuia mtu kutenda jambo fulani? Na mimi nisaidieni msimamo wa hili kisheria.
Jamaa yangu ameshinda kesi CMA baada ya mwezi mmoja kupita bila mwajiri kusema lolote akaamua kukazia hukumu ambapo Mahakama kuu ikatoa order kwa mwajiri ikimtaka kutekeleza maamuzi ya CMA jamaa yangu alipopeleka order ndani ya week moja mwajiri akampatia copy ya appeal ya High Cort ambayo inaonyesha kuwa ameikata baada ya order ya Mahakama, na siku zilikiwa zimefika 54 tangia mwajiri amepata nakala yake ya hukumu.Waungwana sheria inasemaje kuhusiana na hali kma hiyo.