M MMOJA JF-Expert Member Joined Aug 30, 2012 Posts 445 Reaction score 259 Apr 10, 2016 #1 Ni baada ya muda gani mlalamikaji au mlalamikiwa anastahili kukata rufaa baada ya maamuzi ya mahakama
Ni baada ya muda gani mlalamikaji au mlalamikiwa anastahili kukata rufaa baada ya maamuzi ya mahakama
B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,056 Reaction score 10,721 Apr 10, 2016 #2 MMOJA said: Ni baada ya muda gani mlalamikaji au mlalamikiwa anastahili kukata rufaa baada ya maamuzi ya mahakama Click to expand... Toka mahakama ipi kwenda mahakama ipi?
MMOJA said: Ni baada ya muda gani mlalamikaji au mlalamikiwa anastahili kukata rufaa baada ya maamuzi ya mahakama Click to expand... Toka mahakama ipi kwenda mahakama ipi?
M MMOJA JF-Expert Member Joined Aug 30, 2012 Posts 445 Reaction score 259 Apr 11, 2016 Thread starter #3 BEHOLD said: Toka mahakama ipi kwenda mahakama ipi? Click to expand... mahakama ya mwanzo kwenda mahakama ya wilaya
BEHOLD said: Toka mahakama ipi kwenda mahakama ipi? Click to expand... mahakama ya mwanzo kwenda mahakama ya wilaya
B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,056 Reaction score 10,721 Apr 11, 2016 #4 MMOJA said: mahakama ya mwanzo kwenda mahakama ya wilaya Click to expand... Siku thelathini toka Siku hukumu iliposomwa na mahakama ya Mwanzo.
MMOJA said: mahakama ya mwanzo kwenda mahakama ya wilaya Click to expand... Siku thelathini toka Siku hukumu iliposomwa na mahakama ya Mwanzo.