Habari.Naomba kujua umuhimu au hasara ya kukata spring kwenye curburetter ya Pikipiki ili throttle iwe laini.Maana nimenunua kapikipiki kamekatwa.Naomba Wenye ujuzi wa ufundi wa pikipiki mnijuze hayo mambo ili nifanye maamuzi sahihi ya kuikata au kuiacha.