Kukataa kufanya kazi ambayo hujawahi kufanyani utovu wa nidhamu?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Hivi kama umeajiriwa na miaka yote umefanya kazi ya aina fulani, anatokea Boss anakwambia ufanye kazi fulani post nyingine lkn hiyo kazi kipengele unayoiwezea unakubali kuifanya ile ambayo hujawahi kuifanya unaikataa, hii imekaaje ni utovu wa nidhamu ama?
 
Jd yako si ilikuambia kwamba na "kazi zingine utakazopangiwa na mkuu wako wa kazi"
 
wajiri wako ana weza kukupangia majukumu mengine, lakini inategemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…