Kukataliwa kumenifanya kuepuka UKIMWI

Kukataliwa kumenifanya kuepuka UKIMWI

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Habarini

Nilitokea kumpenda mdada mmoja mzuri wa sura ana shep mzuri kilima kipo vizuri nilivutiwa nae kwa kweli na vile ana jua kudeka na mimi napenda mwanamke anaejua kudeka basi akawa ananidekea kwenye maongezi ya kawaida na mimi nikatokea kumpenda.

Basi katika mzoea hayo tulipeana namba nikaaza kumchokoza akawa anajibu kwa dharau sana sasa na mimi nina dharau mara kumi yake nikawa simtafuti akinitafuta tunaongea vizuri nikimgusia kuhusu jibu anasema ana mtu wake basi nikawa nampotezea.

Sasa leo nimekaa zangu sina hili wala lile anakuja rafiki yake analalamika kuhusu rafiki yake anasema kamchukulia bwana wake na yeye anampenda lakini rafiki yake ni muathirika.

Nilistuka sana nikawa nampa counseling uku nafanya screen counseling kwake ili kujua kiini cha tatizo ndipo akaniambia kuwa.

Rafiki yake kwa siku anatembea na mwanaume zaidi ya mmoja na ni wanaume za watu nilistuka tena akasema kwa wiki tu anaweza lala na wanaume zaidi ya nane nikaogopa nikasema kwanini anafanya hivyo akasema ni hulka yake nikamuuliza sasa wewe uamuzi wako ni upi akasema ninamwachia najua nitapata mwingine.

Moyoni nikasema asante Mungu maana ningezama kwenye dimbwi la dawa.

Baada ya hapo nimefuta namba yake na nimeweka setting ya person kwenye simu yangu namba ngeni ikipiga iseme inatumika.

Duh nimemaliza.
 
unapoishi tu pale wauza mbususu wapo kwa ajili ya pesa sio condom kama sudani,temeke,kimboka,tandale na n.k
 
Hata wenye wivu na masnitch wanatumia sana kusaga kunguni wa Ukimwi nothing until tested positive. Kama ana huruma hio na upendo si umwambie huyo bwana wake
Alikuja na dawa anazomeza sikuamin moka akaenda niletea card ya clinic na yeye hajui kama nilimtongoza rafiki yake
 
198351-Hot-Tea-Vapor.gif
 
Haya mambo magumu sana unaweza ukajilinda ukajitunza Sana Ili usipate HIV kabla ya ndoa, ukaja kuletewa kwenye ndoa, ukabakia kujuta tu umeukimbiza upepo tu
 
Haya mambo magumu sana unaweza ukajilinda ukajitunza Sana Ili usipate HIV kabla ya ndoa, ukaja kuletewa kwenye ndoa, ukabakia kujuta tu umeukimbiza upepo tu
Mh yashakukuta nini?
 
Back
Top Bottom