kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Tume ya uchaguzi mnashindwa kujitenga na chama Cha mapinduzi.
Mliaanza kuwapa ushindi wa mezani, mkamaliza mkawasimamisha wagombea wa udiwani na Ubunge kufanya kampeni lakini homa ikazidi kuongezeka.
Magufuli baada ya kufanya kampeni siku mbili Iringa,Songwe na Mbeya akagonga mwamba akaona isiwe tabu akapumzike.
Ikumbukwe kabla ya kwenda iringa alikua kapumzika siku tano mfululizo, kukatishwa kwa kampeni na mgombea huyu kwa sababu za kubana matumizi kumelazimisha tume mstopishe kampeni za Lisu ili naye akae nyumbani Kama mgombea wa CCM.
Tunaelewa hii anaifanya mgombea wa ccm makusudi akiamini tume mpo kumbeba Tarehe 28/10/2020, lakini siamini kama hizi akili za mtu mmoja kupangia Taifa lifanye nn kwa wakati gani Ni akili za maendeleo. Anadumaza nchi kifikra na kimaendeleo
Wabunge wa CCM hawafanyi kampeni kwa sababu fedha wamenyimwa lakini pia si kunyimwa tu Bali wameelekezwa kutokujisumbua sana na kampeni kwa sababu mtawapitisha. Hakuna mwanaccm anayefanya kampeni wote wanapita mtaani siku moja wanapotea wiki. Miaka ya nyuma kampeni zilifanyika kwa kuwaheshimu wananchi.
Tume mmeshindwa, wananchi ni wakati wao wakusikiliza sera siyo wakati wakufungia kampeni kwa sababu wanaoumia si wagombea Bali Ni wananchi, kumbukeni siku hazisimami