KERO Kukataliwa kwa wahitimu wa BA in History and Political science kwenye Ajira Portal

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Dec 13, 2023
Posts
2
Reaction score
2

Wahitimu wa Udsm wa ba. In History and Political science wana disqualify kuapply public administration and HRM Japokuwa walizisomea darasa moja na lecture mmoja pamoja na wanafunzi wa political science and public administration ambao ndyo wako more favored.

Kwa hiyo kama ni ngumu kuajiriwa Kutokana na jina la program basi waifute ili watoto wa kimaskini wasipoteze muda kwenye kozi isiyoeleweka.
 
Inabidi Chuo ndo wawasiliane na watu wa utumishi kufafanua... vinginevyo hata mimi nisiyezijua hizo kozi naweza kutafsiri kwamba wa History and Political science haendani na hiyo kazi...
Inawezekana mlikuwa mnasoma pamoja kozi za Political Science sio Public Administration...

Sorry, hayo ni maoni ya mimi nisiyezijua hizo kozi.
 
Pia kumezuka malalamiko kwa wahitimi wa NIT ,wakiomba zile nafasi za TASAC wanakatiliwa wao tu ...wakati ile kozi yao ipo pale kama ya pili kwenye Qualifications ...

Siku zinaenda hawa UTUMISHI kama wapo humu watoe majibu.

UTUMISHI toeni jibu watu wajue moja !
 
Human Resources Management na Public administration ni Miongoni mwa masomo ambay wnashare kwa pamoja na ndyo masomo mama ya ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…