Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Hii kazi ni ngumu sana ya kucheza pale mbele jukwaani ,,kati ya kazi hii ni kiboko,,,kwenye bar naona wanaweka bendi halaf wadada wanakatika kweli,najiuliza hawajaona kazi zingine au ndio hawataki hata kuuza nyanya na mboga mboga,,mbona naona kazi sans kucheza pale mbele halaf watu kibao wanakuangalia,,
Hii ni kazi kweli au kujisumbua tu,,,hata wale wanaocheza majukwaani kwenye matangazo ya biashara kama vodacom,dawa za meno huwa naona ajabu na naona wana mioyo migumu [emoji23]
We kazi gani kwako waiona ngumu sana na hutoweza kuifanyaa