Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Siwezi katika jukwaan ,bora niuze mboga mbogaNini umekipa kipaombele.??
You can do anything just believe urself.
Hapo uko sahihi sana. Ila tunatofautiana usichopenda wewe mwenzako anakihitaji. Hapo ndio tulipotofautina. Nikama kazi tuu hii ya kuuza nyanya wewe unaiona nzuri nanikweli nzuri ila kuna mwenzako naye anajiona haiwezi kwani inamdhalilisha eti yeye ni matawi ya juu. Hiyo ndio tofauti yenyewe.Hii kazi ni ngumu sana ya kucheza pale mbele jukwaani ,,kati ya kazi hii ni kiboko,,,kwenye bar naona wanaweka bendi halaf wadada wanakatika kweli,najiuliza hawajaona kazi zingine au ndio hawataki hata kuuza nyanya na mboga mboga,,mbona naona kazi sans kucheza pale mbele halaf watu kibao wanakuangalia,,
Hii ni kazi kweli au kujisumbua tu,,,hata wale wanaocheza majukwaani kwenye matangazo ya biashara kama vodacom,dawa za meno huwa naona ajabu na naona wana mioyo migumu [emoji23]
We kazi gani kwako waiona ngumu sana na hutoweza kuifanyaa
Je kwenye uwanja seremala 6x6 unaweza kukatika....Siwezi katika jukwaan ,bora niuze mboga mboga
Hapo naweza
Hiyp ni ngumu sanaHakuna kaz rahisi
Aa khatwe. Niku train?Tunatofautiana. Mimi ningekuwa najua kukatika ningefanya pia...kila mtu ana kile anachopenda kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari.Hakuna kaz rahisi
Sasa nisiende kula siku moja mojaWewe hujaona kazi nyingine mpaka ukae bar uangalie watu wanakatika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula ondoka ..acha wapambane na hali yao vyuma vimekaza sana awamu hiiSasa nisiende kula siku moja moja
ww unataka ipi ? kitandani au jukwaani