Kukatika katika umeme Mtwara vijijinii, ni kikwazo kwa wajasiriamali wadogo wadogo

Kukatika katika umeme Mtwara vijijinii, ni kikwazo kwa wajasiriamali wadogo wadogo

Aureus Ndimbo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
211
Reaction score
95
Uongozi wa Tannesco mtwara jaribuni kutatua changamoto hii kama ipo ndani ya uwezo wenu. Tinategemea umeme kufanya shughuli za kujikwamua kiuchumi huku vijijini.

Kumekuwa na tatizo la kukatikakatika umeme mtwara vijijini hasa laini ya mpapura,libobe kitere Mara kwa Mara kitendo kinachosababisha kukwama kwa baadhi ya shughuri za kiuchumi

Tunaomba kama inawezekana tatizo Hilo lipate ufumbuzi japo natambua sio sehemu husika lakinj naamini huenda baadhi ya viongozi na watendaji wapo humu JF.
 
Back
Top Bottom