Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi gani ya dunia ya tatu haina tatizo la umeme?Wakuu kwema?
Kukatika kwa umeme kila siku kumekuwa kero sana hasa kwa biashara ndogo.
Tatizo ni nini?
Kwanini kila siku?
Yaani tatizo la umeme kwenye nchi yangu naweza kufa na bado lipo ni kama imekuwa laana.
Niwatakieni siku njema.
Unasema? Umeme gan?Vijana wanasema tafuta hela umeme haukatiki
Kuna auto generetor na SolarUnasema? Umeme gan?
Toto la kishua mambo ya njiro tu.Kuna auto generetor na Solar
Umeme haukatiki bwana..
Hapa enyewe Njiro ya Themi East hatuna umeme 🤣
Mi naona ni poa tu na ukatike katike zaidi ya hapa,,,,,,,,,,,Wakuu kwema?
Kukatika kwa umeme kila siku kumekuwa kero sana hasa kwa biashara ndogo.
Tatizo ni nini?
Kwanini kila siku?
Yaani tatizo la umeme kwenye nchi yangu naweza kufa na bado lipo ni kama imekuwa laana.
Niwatakieni siku njema.
Hapo kwenye kutafuta hela naona kuna upotoshaji wa makusudi, kauli mbiu sio kutafuta hela bali kutafuta hela kubwa 😂Vijana wanasema tafuta hela umeme haukatiki