Kukatika kwa umeme vs Mjadala wa Bashiru haumsaidii mnyonge

Kukatika kwa umeme vs Mjadala wa Bashiru haumsaidii mnyonge

mwangomo83

Member
Joined
Jun 18, 2021
Posts
15
Reaction score
47
Habari kuna mijadala mingi inaendelea ambayo haina faida kwa mwananchi Mnyonge hasa kuhusu Bashiru, Tuna tatizo kubwa sana la umeme,Kimara siku ya pili tuko gizani kira kitu kimelala,wahusika wafuate walau zamu ya mgao wa kimyakimya.hayo ya Bashiru sizani kama yanatusaidia.
 
Watu wanatumia mjadala wa Dr. Bashiru ili wapate teuzi toka kwa muheshimiwa Rais.Mama anapaswa kuwa makini na watu wa namna hii mana sio kwamba wanampenda ila wanapigania matumbo yao.
 
Back
Top Bottom