Kuna kukatika maji haya maeneo wiki nzima kwa sasa na hakuna taarifa maalum kwa wateja kutoka Mwauwasa,kuna mdau yoyote anajua kinachoendelea?
Kilichopo ni kwamba unaweza stuka ghafla maji hamna na hujahifadhi.
Nafikiri kama kuna changamoto taarifa ziwekwe wazi na ratiba ifahamike ili kila mtu ajipange