Kukatwa kodi kwa mizigo

Mkuu kwema?? Hivi mzigo ukitumwa kama zawadi huwa wanakata kodi pia?? Miaka ya nyuma nilikuwa nasikia ilikuwa hailipiwi vipi kipindi hiki??

Hope kwa uzoefu ulionao unaweza ukawa unajua kuhusu hili.
 
Mkuu kwema?? Hivi mzigo ukitumwa kama zawadi huwa wanakata kodi pia?? Miaka ya nyuma nilikuwa nasikia ilikuwa hailipiwi vipi kipindi hiki??
Mzigo unapoingia nchini huwa unakaguliwa kwanza, bila kuja ni zawadi au umenunua?
Iwapo upo kwenye kundi la mzigo wa kulipia ushuru, basi utalipia.

Mfano umetumiwa iphone X kama zawadi, lazima ulipe kodi/ vat kutokana na thamani ya hiyo simu husika.
 
Ahsante mkuu nimekuelewa.
 
N
Mzigo unapoingia nchini huwa unakaguliwa kwanza, bila kuja ni zawadi au umenunua?
Iwapo upo kwenye kundi la mzigo wa kulipia ushuru, basi utalipia.

Mfano umetumiwa iphone X kama zawadi, lazima ulipe kodi/ vat kutokana na thamani ya hiyo simu husika.
Ni mizigo ya kuanzia thamani ipi hua haikatwi kodi?
 
Pure C&F safiiii mkuu
 
=
Let's break down the calculations:

1. A = Bei ya kitu pamoja na ghalama ya kusafirishia = USD $160

2. MALIPO UTAKAYOLIPA (TOTAL TAXES)

a. IMP - Import Duty (25% ya A)
= 0.25 x $160 = $40

b. EX - Excise Duty ( assume 0% for now, as no value is given)
= 0 x $160 = $0

c. RDL - Railway Development levy (1.5% ya A)
= 0.015 x $160 = $2.40

d. CPF - Customs processing fee (0.6% ya A)
= 0.006 x $160 = $0.96

e. Add EX, RDL, and CPF to get:
= $0 + $2.40 + $0.96 = $3.36

f. Add IMP and the sum of EX, RDL, and CPF to get C:
= $160 + $40 + $3.36 = $203.36

g. VAT - Value Added Tax (18% ya C)
= 0.18 x $203.36 = $36.60

So, the total taxes (MALIPO UTAKAYOLIPA) are:
$40 (IMP) + $36.60 (VAT) + $3.36 (EX, RDL, and CPF) = $80.96
 
Zana za kilimo kama powertiller nk vp ukipitisha posta, sera inasemaje kwa kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…