Elections 2015 Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?

fisadi papa hawezi kuingia ikulu
 
Dah....maneno ya Mzee wa kiti moto [emoji87] [emoji87]



Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Dah
 
Sasa hivi anawachakaza "makamanda"
 
Wanabodi,
Lowassa sema....
Sema usiogope sema!.

Linasubiriwa Neno tuu!.

Pasco!
Kama lilivyosubiriwa neno moja tuu aseme, na sasa Lowassa ndani ya upinzani, linasubiriwa neno moja tuu, aseme anarejea CCM, kwa sababu Lowassa alijiunga upinzani kwa malengo, na maadam malengo hayo hayakutimia, hakuna ubaya wowote akirejea nyumbani!.

Paskali
 
Baada ya Lowassa kusifiwa na rais Magufuli kuwa ni super man, nimemkumbuka naomba nimdurusu kidogo, niliwaji kusema nini humu kumhusu mtu huyu.

P.
 
100% utafikiri EL alisoma hii post yako! Maana amesema "nimerudi nyumbani"
 

Sasa ndio mwisho kweli wa safari ya matumaini.
Naendelea na My Tribute to this fallen hero, Mwamba wa Kaskazini, kwa kujikumbusha baadhi ya mabandiko yangu kumhusu shujaa huyu mpaka siku atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, let's celebrate the life and the times of Edward Lowassa.

RIP Shujaa Laigwanani Comred Edward Ngoyai Ole Lowassa,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu, imani umeilinda.
Bwana alileta
Bwana ametwaa,
Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…