Hamna cha kutengua majina ndio hayo matano
Kuna haja ya kutafuta pop corn hapa mana movie bado inaendelea kwa waliokatwa
AMESHAKATWA
Wapinzani ntawadharau na pasina shaka hata watanzania wengi watawadharau kama wakimpokea Lowassa!
Wameimba nchi nzima kwa miaka chungu nzima kwamba EL ni fisadi eti leo wampokee na kumpa nafasi ya juu kabisa ya kugombea urais!!!
Umeona ukawa ndio wa kukaribisha wezi? Labda aende kile chama cha zambarau au chama kingine nje ya ukawa
iukisema wapinzani, jua kuwa lowasa hawezi kuhamia CHADEMA, CUF, NCCR bali atachagua vyama vile ambavyo huwa vinaunga mkono ccm kama TLP, PPT MAENDELEO, TADEA, UDP YA CHEYO nk. hawezi kutia mguu vyama bora, anaenda kwa salvages.Wapinzani ntawadharau na pasina shaka hata watanzania wengi watawadharau kama wakimpokea Lowassa!
Wameimba nchi nzima kwa miaka chungu nzima kwamba EL ni fisadi eti leo wampokee na kumpa nafasi ya juu kabisa ya kugombea urais!!!
Umeona ukawa ndio wa kukaribisha wezi? Labda aende kile chama cha zambarau au chama kingine nje ya ukawa
membe ni muislam, magufuli ni muislam?Nyerere aliwahi kusema ni heri mbuzi kuwa mgombea wa CCM kuliko mkristo kuwa raisi wa Tanzania, hii imetimia. Majina yote 5 yaliyo chaguliwa CCM ni uislam mtupu. Tumechoshwa ni team uislam ndani ya CCM, mahamuzi magumu yanaitajika sasa.
Nyerere aliwahi kusema ni heri mbuzi kuwa mgombea wa CCM kuliko mkristo kuwa raisi wa Tanzania, hii imetimia. Majina yote 5 yaliyo chaguliwa CCM ni uislam mtupu. Tumechoshwa ni team uislam ndani ya CCM, mahamuzi magumu yanaitajika sasa.