Mimi si dakatri wa binadamu ila katika part time yangu hupenda sana kujua mwili wa binadamu, ndiyo maana nina vitabu vingi sana vya utabibu utadhani kuwa mimi pia ni tabibu. Subiri matabibu halis waje wakusaidie, ila dalili ulizoongea ni kama vile zinatokana na matatizo ya ini. Jaribu kutumie supplements zinazosaidia ini hata kama daktari atakuwambia kuwa huna tatizo la ini kwani inawazekena ndiyo linaaza kuchoka hata kama halijaishiwa nguvu. Madakatari huona tu pale ini linapokuwa limeshiwa nguvu.
Supplements zinazosiadia ini ni pamoja na hizi zifuatazo ingawa ni wajibu wako kuona kama ubora wake.
(1) The herb milk thistle (Silybum marianum). Sijui inaitwaje kwa kiswhaili, lakini kuna ripoti nyingi sana kuonyesha kuwa husaidia sana kutibu ini hata kama umeumwa na nyoka, ambaye sumu yake huharibu ini kwa kasi sana.
(2) Himalayan Liv.52. Vidonge hivi nadhani vitaokana na mmea huo hapo juua lakini vinasifika sana hasa kwenye majukwaa ya natural therapy.
Hakuna ushahidi wowote wa kisayansi kuonyesha kuwa mimea au vidonge hivyo vinasaidia kweli ini, ila watumiaje wake wengi wamekuwa wanaandikia kusifia; inawezekana waandikaji ndio wauzaji wenyewe!