Kukauka kwa midomo!!

mdudu8

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
21
Reaction score
2
Naomba nisaidiwe!kwani nahisi kukauka kwa midomo na tumbo kuuma kwa mbaali upande wa kushoto pamoja na kukosa ladha yachakula chochote nnachokula!!nilienda kupima hospita!mkojo,typhod,malaria n full blood picture!ila cjagundulika na kitu!nikapewa dawa ila bado najickia hali ni ile ile!naombeni msaada wenu kwanu hali hii inaninyima raha!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Inawezekana una matatizo ya ini; kapime LFT. Je unakunywa au ulikuwa unakunywa pombe kali kwa wingi sana?
 
Nilikua nakunywa kipindi flani ila niliachana na pombe kali!japo mwezi umepita nilipima ila ckukuta tatizo kwenye ini wala figo!kati kati hapa nikanywa bia ndio hiyo hali ikaanza!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mimi si dakatri wa binadamu ila katika part time yangu hupenda sana kujua mwili wa binadamu, ndiyo maana nina vitabu vingi sana vya utabibu utadhani kuwa mimi pia ni tabibu. Subiri matabibu halis waje wakusaidie, ila dalili ulizoongea ni kama vile zinatokana na matatizo ya ini. Jaribu kutumie supplements zinazosaidia ini hata kama daktari atakuwambia kuwa huna tatizo la ini kwani inawazekena ndiyo linaaza kuchoka hata kama halijaishiwa nguvu. Madakatari huona tu pale ini linapokuwa limeshiwa nguvu.

Supplements zinazosiadia ini ni pamoja na hizi zifuatazo ingawa ni wajibu wako kuona kama ubora wake.

(1) The herb milk thistle (Silybum marianum). Sijui inaitwaje kwa kiswhaili, lakini kuna ripoti nyingi sana kuonyesha kuwa husaidia sana kutibu ini hata kama umeumwa na nyoka, ambaye sumu yake huharibu ini kwa kasi sana.

(2) Himalayan Liv.52. Vidonge hivi nadhani vitaokana na mmea huo hapo juua lakini vinasifika sana hasa kwenye majukwaa ya natural therapy.

Hakuna ushahidi wowote wa kisayansi kuonyesha kuwa mimea au vidonge hivyo vinasaidia kweli ini, ila watumiaje wake wengi wamekuwa wanaandikia kusifia; inawezekana waandikaji ndio wauzaji wenyewe!
 
Nashukuru sana!mpendwa!ntalifanyia kazi swala hili leo!!nione matokeo yake!!shukran sana!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…