Kukawia Kukojoa

Joined
Mar 31, 2019
Posts
8
Reaction score
3
Wadau Naombeni Mnisaidie Kwenye Msaada Wowote Juu Ya Tatizo Nililonalo La Kukawia Kufika Kileleni Wakati Wa Kufanya Mapenzi Maana Natumia Muda Mwingi Sana Hadi Inakuwa Kero, Nifanyeje Ili Niwe Nawahi

Msaada Wenu Tafadhali
 
wanawake tatizo lenu, mnapotiwa, mnakuwa mnawaza hela, badala ya kuwaza tendo. Lazima uchelewe kufika kilele, wakati huo mwanaume anakuwa ameshakojoa long time..!
 
Mh!! 😳 😳
 
Kumbe mtoa mada ni Mwanamke?
 
Huku wengine wanatafuta dawa ya kuchelewa,wengine wanatafuta dawa ya kuwahi..maisha haya.

Hujasema lakini unakaa muda gani??
 
Muone Demiss akusaidie kuondoa kero yako.

Wadau Naombeni Mnisaidie Kwenye Msaada Wowote Juu Ya Tatizo Nililonalo La Kukawia Kufika Kileleni Wakati Wa Kufanya Mapenzi Maana Natumia Muda Mwingi Sana Hadi Inakuwa Kero, Nifanyeje Ili Niwe Nawahi

Msaada Wenu Tafadhali
 
Huku wengine wanatafuta dawa ya kuchelewa,wengine wanatafuta dawa ya kuwahi..maisha haya.

Hujasema lakini unakaa muda gani??
Hata zaidi ya dak20 napiga mambo tu hata ile dalili ya kukojoa siihishi had inakuwa kero kwa mwanamke
 
wanawake tatizo lenu, mnapotiwa, mnakuwa mnawaza hela, badala ya kuwaza tendo. Lazima uchelewe kufika kilele, wakati huo mwanaume anakuwa ameshakojoa long time..!
Hajatwambia ni jinsia gani lakini labda ni wakiume
 
Ukiwa unafanya tendo tafuna pilipili mbuz kama fungu moja iv...!mjomba kilelen mbona chapu tuuu [emoji13]
 
Chukua bodaboda fasta tu utafika huko kileleni,ila usisahau kuvaa sweta maana kuna baridi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…