Kukidhi haja ya matamanio


Wakati wanaoana hawakuliona hili?? Au walidhania maisha ya ndoa yanaganda ktk ujana na afya njema tu??
 
muulize huyo mkuu kiongozi!...anadhani ndoa ni huo upuuzi pekee

tutake radhi mzee. Ndoa huijui vyema pia. Au ww ni miongoni mwa wale wasiowatosheleza wenzi wao?
 
hapa umedanganya kuhusu umri. la maana katika uwezo ni afya kwa taarifa yako kuna wazee wanaleta balaa mpaka vijana wanaondoka. suala si kupishana umri suala ni namna gani afdya yako inaruhusu kucheza pachanga

tuwashukuru waliogundua kiboko ya paulina
 
Naona wadau mnakuja juu kweli. Haya mambo yapo na yanatendeka. Ndio maana nikasema awali haya mambo si madogo. Ufumbuzi ni upi? Sio jazba wazee
 
i dont wanna go into troubles with u guy. Lets discuss the mada. Kwa muda mfupi uliokaa kwenye ndoa umegundua nini, mkuu
muda ni mfupi mno KAMA ULIVYOANDIKA!...nothing can be justified.lakini nitakupa siri moja tu......MAISHA NI YALE YALE!WATU WAACHE WOGA
 
muda ni mfupi mno KAMA ULIVYOANDIKA!...nothing can be justified.lakini nitakupa siri moja tu......MAISHA NI YALE YALE!WATU WAACHE WOGA

wakati mwingine si uoga bali ni wakati gani na ni vipi unaweza kuyatambua mahitaji ya mwenza bila ya yy kutokuwa na sababu ya kukueleza
 

Kingi,
Inapokuja suala la kuridhishana katika ndoa (na hata kwengineko!) nadhani ishu sio 'quantity' ni 'quality'!
 
Pamoja mkuuπŸ˜‰! 'Kijana' anaweza piga bao hata sita lakini kama ni mbinafsi bado hawezi kumridhisha mwanamke.

i wish in reality ingekuwa hivyo mzee
 
Manbo haya magumu sana...

binafsi sitakuwa na sababu ya kumwingilia uhuru wake. Atazame kwa upeo wake akijua nini anafanya kama itatokea nikashindwa kutimiza haja zake, ila nisijue chochote na wala nisiletewe magonjwa
 
Mkuu Kingi, maana ya ndoa unaifahamu vizuri kweli mkuu?
hakuna kitu kikubwa kinachobeba ndoa zaidi ya sex,umpate bibie ana sifa zote lkn mambo flani hakupi hapo kitaeleweka?tukiludi kwenye mada kama anakupa chochote utakacho na kukuheshimu na upendo wa dhati unaweza vumilia lkn mwili unakuwa huutendei haki mwili wakati mwingine akili ya kucheat inakujia
 

waelezee waelewe mzee, maana wanadhani ndoa ni kutazamana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…