Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤰kitambi rahisi kukikapata, kinakuganda, ukitaka kukiondoa kinakupa uvivu wa mazoezi na hamu kali ya kula hovyohovyoMtu anae fanya mazoezi ya kukimbia anaweza ondoa kitambi au mpaka aende jim
Mkuu uko sahihi..jibu rahisi ni kwamba kukimbia hakutafanya kitambi kwisha..Inategemeana na umbali wa kitambi ulipofikia
Ukiwa na kitambi kama Dj khaled au rick rose hata ukiwa na uwe unakimbia hapa na mbeya kwenda na kurudi kila siku hautabadili chochote
Kwenye Maji moto aongeze na limao pamoja na apple cider yenye mother hii inaelekea kunisaidiaFanya
1- Mazoezi ya kuchoma mafuta ( kukimbia na kuruka ruka)
2- Fanya mazoezi ya kukata tumbo ( tafuta mtandaoni abdominal workouts)
3- Punguza ulaji wa vyakula vilivyosindikwa na jikite kula vyakula asili kwa kiasi na kunywa maji moto.
Vimenisaidia ndani ya mwezi tu