Kukimbia matatizo yako ndio hukuongezea matatizo zaidi😢

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
KUKIMBIA MATATIZO YAKO NDIO HUKUONGEZEA MATATIZO ZAIDI😢

Huyo mwanaume katika picha aliamua kujiua kwa lengo la kukwepa madeni anayodaiwa, pindi alipoamua kujirusha kutoka jengo refu la ghorofa mwisho wa siku akafikia katika hiyo gari aina ya BMW ya mtu na kunusurika kifo, hivyo kuongeza deni lingine kwa mwenye gari kwa sababu ya uharibifu.

Matatizo hayakimbiliki, jinsi ukimbiapo matatizo yako ndio huzidi kukuandama.😮‍💨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…