Kukimbiza kuku wa kienyeji?

wakuu,
sasa huyu kuku anaingiaje kwenye hili jukwaa maridhawa la MMU?....

Binamu vipi hukusoma fasihi O Level? Au ndiyo ulibobea zaidi kwenye ''Adisheno Masematiks''?


By the way kule migodini - MMU ni Mobile Mixing Unit!!
 
Mmenikumbusha mbali kuna jamaa (couples) tulikuwa nao ofisi moja tukiwa kwenye basi la kazini tunaelekea nyumbani ulizuka mzozo kama huu wa kuku wa kienyeji na wa kisasa yupi ana taste, wale couples bana walikuwa wamepinda kinoma, baba anasema kuku wa kienyeji wametulia hapana mfano ukimla lazima apatikane na shombo ya kienyeji enyeji so unajisikia kabisaa kwamba hapa napata kitu natural, Bibi anatetea kuku wa kisasa kwamba anaishi mazingira mazuri, msafi hana shombo, ukimla hubaki na ki harufu, watu hatuna mbavu, Mwanaume anaendelea aaah wa kienyeji hana ghalama haitaji banda la bati yeye hata kwenye nyasi analala tu au kutaga, dah yule dada si kikamuuma, akatoboa siri ahaaa kumbe ndo maana unanuka sana shombo za kuku wa kienyeji siku hizi, mpaka sabuni ya kuogea umebadilisha na perfume unajipulizia siku hizi, watu ayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 

Mhhhhhhhh..........
 
...mkononi ukiwa na tooth-stick ukichokonoa mabaki ya kitoweo hicho huku ukishushia na dare 4 more...teh teh burdaaani kweli mkuu
 
Hili swali limekuwa likinitatiza sana.. kwanini kuna raha ya aina fulani kufukuza kuku wa kienyeji kabla ya kumfanya kitoweo?

Hivi Mzee M. ulikuwa una maana ya kuku kitoweo au kuku mtu maana sikuelewi hayo mafumbo yako kuku wa kienyeji.

nimejiuliza tu kuku wa kienyeji na jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki wapi kwa wapi? ingekuwa kuku wa kitoweo pengine hii mada ingekuwa kwenye hoja mchanganyiko.

ila kama ni kuku wa kitoweo kwa sababu yeye yuko huru, hajazoea kufungwa ndani anatoka saa kumi na mbili asubuhi kwenda kutafuta riziki na kurudi saa kumi na mbili jioni kulala sasa inapofikia mtu anataka kitoweo cha kuku anambadilishia ratiba yake hivyo ni lazima ajihami kwa kukupiga chenga za hapa na pale kabla hajasalimu amri kwa sababu naye huchoka upesi.

ila kama ni kuku mtu tuwaulize akina nguli walioleta mada ya ...wa uswazi.

na mimi nakuuliza kwa nini kuku wa kizungu hakimbii anapotaka kukamatwa?
 
ha haaa haaaa siku hatukimbizi unaweza vunjika ukajachekwa unarusha mahindi aka vocha unaona yuleeeeeeeeeee yuleeee mara huyu then wachinja kiulaiiiiiini shekhe......lol!!!
 


yani sipati picha ukikimbiza kuku kuna raha yake ukiwa mzoefu kama mm jasho alitoki kwani taiming tu kama umfukuzi vile kabla ajastuka umemkamata uzuri wa kuku ni msaulifu sana ukimfukuka dk hii dk hii kashasahau unamkamta kisu mm napenda sana michelin ya kuku
 
Hili swali limekuwa likinitatiza sana.. kwanini kuna raha ya aina fulani kufukuza kuku wa kienyeji kabla ya kumfanya kitoweo?

nimegundua sababu.... its because yale makuku ya kizungu mazezeta frani, au nimekosea?😱 hata nyama zao si firm na tamu kama kuku wa kutafuna mazagazaga kitaa
 
Hili swali limekuwa likinitatiza sana.. kwanini kuna raha ya aina fulani kufukuza kuku wa kienyeji kabla ya kumfanya kitoweo?

Kuku?? Weka mahindi halafu ita... watakuja wenyewe... baada ya hapo timing tu
 
Hili swali limekuwa likinitatiza sana.. kwanini kuna raha ya aina fulani kufukuza kuku wa kienyeji kabla ya kumfanya kitoweo?

Mzee Mwanakijiji,
Mnyama akifukuzwa anapata woga na ikiwa hivyo anatoa enzyme within the body ambayo inafanya nyama yake inakuwa merinated na kuwa laini sana. Hivyo hivyo ona paka akishika panya hawezi kumla saa hiyo hiyo, atamuacha akimbie atamfukuza na kumshika tena atarudia mara tatu nne hivi halafu ndo anaendelea kumla.

Hiyo ndo raha, no wonder kuku wa kienyeji hahitaji merination bada ya kufukuzwa.
 
mzee kweli nimeamini ukubwa dawa,, ..teh. teh,, teh
 
Hakuna raha kama kumwona kwa nyuma mkia uikitingishikaπŸ™‚


na ukisha mkamata sikilizia kilio chake .... walaah ni udenda tu mdomoni! akikiona kisu chaja ndo balaaaa .... mpaka majirani watajua!!
All in all .... ni watamu sana kwa kweli!! πŸ™‚

MDBD
 
Hivi hao kuku kwani kila kuku wa kienyeji anakuwa na mkia utingishikao unapomkimbiza ili iwepo 'utility' ya kumkimbiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…